Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,674
- 8,313
Asilimia 65 ya wababa walioenda kwa mkemia mkuu wa gvt kufanya DNA na watoto waliodhani wao imebainika kuwa wababa hao wamebambikwa.
Source: ITV
Hapa nashindwa kuelewa tatizo ni nini mpaka wamama wawakosee kiasi hiki waume zao,tatizo ni uchumi au ukicheche wa wanaume?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums