Sema usikike!

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Je, mtu anatakiwa kufahamu sayansi ili awe mhandisi mzuri? Ndiyo au hapana? Kwanini?
 
Kwani wewe hujuwi kuwa elimu ndio ni Ufunguo wa Maisha? Pasipo Elimu hutopata kazi nzuri soma sayansi upate kazi nzuri

duh ina maana kazi nzuri inapatikana kwa kusoma sayansi??? nikisoma arts je?
 
We bobea chochote ambacho akili yako inamudu, lakini kwa dunia ya leo hakikisha unafika viunga vya chuo kikuu i.e digirii ni silaha muhimu sana katika upiganaji.
 
We bobea chochote ambacho akili yako inamudu, lakini kwa dunia ya leo hakikisha unafika viunga vya chuo kikuu i.e digirii ni silaha muhimu sana katika upiganaji.

Thanks, nimekusoma! Gandi ji hapo nae nimemsoma!!
 
Back
Top Bottom