Sema ukweli wako, ukiona Tsh. 50 mbele yako unaiokota au utaipita kama hujaiona?

Kabisa..et haokot 2000...mo mwenyew anaokota 2000..huyo platnumz anaokota 2000...mi mwenyew naokota 2000

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio kila akifanyacho mwingine na mwingine nae akifanye. Kuwa na pesa hakumfanyi mtu asiokote pesa iliyodondoshwa, vilevile kutokuwa na pesa hakumfanyi mtu aokote pesa iliyodondoshwa.
 
mimi siachagi hela mpaka coins za kigeni naokota,ila bado najiuliza hivi mnaookota noti zaidi ya moja huwa manafanya fanya vipi???yaani mtu anakwambia nimeokota laki aisee au 60 elfusijawahi.
ni bahati tu mkuu,hujawahi okota briefcase la mi dollar?

sio movie hii n real na ni jamaa wa kitaani tu,chukua hyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom