Sema ukweli wako, ukiona Tsh. 50 mbele yako unaiokota au utaipita kama hujaiona?

Kuna 50 moja imeanguka chumbani karibu na mlangoni toka juzi Mimi na wife tunaipita tuu.. hata watoto wakija kusalimia asubuhi wanaipita tuu.. sijui kwa nn. Sa HV nimeona huu Uzi Niko mbali na home nikaikumbuka.
Hao watoto nao,hyo nyumba hamuokoti hela nyie

ifagieni basi muitupie huku controla nilipo asee
 
Mm ningeweza kuokota coin yoyote sema nilikuja ckia stori maeneo ya kwetu lake zone kuwa mara nyingi (sio mara zote) huwa zinapakwa ute wa jipu kisha znasondoshwa.
.hvo bas ukiikota unaukwaa mara moja naww yanakupata majipu na yule yanaPona. Nkaanza kuzipotezea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yani hii ndio sababu yako hadi leo huokoti kisa hvyo?
 
leo nmeokota sh50 ipo mfukoni wale makomda wa kawe mbagala kesho watakutana na mia 7 hamsini maana wana tabia ya kukata mia nane kila cku eti hawana hamsini
 
leo nmeokota sh50 ipo mfukoni wale makomda wa kawe mbagala kesho watakutana na mia 7 hamsini maana wana tabia ya kukata mia nane kila cku eti hawana hamsini
yani mkuu hyo 50 ushaipangia mpk na matumizi?
 
hivi nyie wenzangu mna mioyo ya aina gani et?

Hadi Buku unaacha? tuwe tunatembea wote Pyaar
Hahahaha! Kuna mmoja hapo juu kadai ni ujinga kutokuokota 1000, 2000 sio kila mwenye shida lazima aokote aonapo pesa imedondoshwa...Ni utaratibu tu anaojiwekea mtu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom