Vitu anavyoweza kununua sh 50 kama yenyewe ni vichache sana.Naiokota kama kuna mtoto jirani nampatia akale ubuyu..
Atanunua hata pipi kifua na atakuwa amechangia uchumi kwa kiasi chake..Vitu anavyoweza kununua sh 50 kama yenyewe ni vichache sana
Naiokota kama kuna mtoto jirani nampatia akale ubuyu..
Duh wewe uko vizuri yaani hadi 1000, 2000 hauokotiNaokota kuanzia 5000 chini ya 5000 siokoti. Zaidi ya mara 3 nimekuwa nikikuta 1000, 2000 imedondoshwa, kama tupo wawili namuonesha mwenzangu aokote, kama nipo peke yangu na kuna mtu nyuma yangu nitamwambia aiokote...Basi tu ni kiformula nilichojiwekea mwenyewe.
Naokota kuanzia 5000 chini ya 5000 siokoti. Zaidi ya mara 3 nimekuwa nikikuta 1000, 2000 imedondoshwa, kama tupo wawili namuonesha mwenzangu aokote, kama nipo peke yangu na kuna mtu nyuma yangu nitamwambia aiokote...Basi tu ni kiformula nilichojiwekea mwenyewe.
Ukweli wangu,naithamini sana pesa,huwa siachi change ata kama ni 50... ila sasa hua siokoti hela kabsa, nishaona 50, 100, 200, 500, 1000, na 2000 zmedodoshwa kwa nyakati tofauti sikuthubutu kuokota maake hua siokoti, siwez semea 5000 na 10000 maake sijawahi kutana na kiwango hicho.Jana nilienda mahali na rafiki angu mmoja hivi,sasa tulipofika huko tulipoenda wakati nmeshuka tu kwenye gari chini nikaona sh.50 "nikaiokota" kisha nikwamwambia mwanangu, "ndugu yangu leo siku yangu itakua safi sana nimeokota hela" akaniuliza sh.ngapi? nikamjibu sh.50...
Sio kwamba nipo vizuri mkuu, ni utaratibu tu niliojiwekea katika maisha.
Hahahaha!
Toto wewe ungeinama kuokota?
Nmecheka hapo ulipofika kwenye 5000 na 10000 nilijua utaendelea ku flowUkweli wangu,naithamini sana pesa,huwa siachi change ata kama ni 50........... ila sasa hua siokoti hela kabsa, nishaona 50, 100, 200, 500, 1000, na 2000 zmedodoshwa kwa nyakati tofauti sikuthubutu kuokota maake hua siokoti, siwez semea 5000 na 10000 maake sijawahi kutana na kiwango hicho.