Sema ukweli wako, ukiona Tsh. 50 mbele yako unaiokota au utaipita kama hujaiona?

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,931
22,901
Jana nilienda mahali na rafiki angu mmoja hivi,sasa tulipofika huko tulipoenda wakati nmeshuka tu kwenye gari chini nikaona sh.50 "nikaiokota" kisha nikwamwambia mwanangu, "ndugu yangu leo siku yangu itakua safi sana nimeokota hela" akaniuliza sh.ngapi? nikamjibu sh.50..

akanicheka kwa dharau,si unajua ile cheko kisha akaniambia "hebu nione hiyo 50" nikampa alipoishika akairusha mbali kbsa yani aliitupa kisha akaniambia "acha wenye shida nayo waiokote wewe unabania riziki za watu"..

kusema la ukweli sikupenda nilinuna nikamwambia mwanangu naomba sh 50 yangu,akaniambia chukua 5000 akanipa noti ya 5000 kwakweli nilichukua ile 5000 ila bado moyoni mwangu nilikua nawaza ile sh.50 yangu iliyotupwa.

Hii si mara yangu ya kwanza mimi kuokota sh.50 na sh.100 kusema ukweli tokea moyoni mimi nikiziona hizi coin huwa naziokota kisha natia mfukoni,siwazi mara mbili wewe nichukulie utavyoncukulia ila ndio hvyo...

Haya leo sema ukweli na wewe ukiona sh.50 utaiokota au huikoti? au ilishawahi kuku kuta upo kwenye dala dala mtu anakwambia "kaka umedondosha hela yako" kuangalia chini unakuta n sh 50,halafu ile 50 si yako unajua kbsa hii si yangu,Huwa unafanyaje? unaichukua au huichukui?

Natamani watu mseme ukweli tu leo...
 
Naokota kuanzia 5000 chini ya 5000 siokoti. Zaidi ya mara 3 nimekuwa nikikuta 1000, 2000 imedondoshwa, kama tupo wawili namuonesha mwenzangu aokote, kama nipo peke yangu na kuna mtu nyuma yangu nitamwambia aiokote...Basi tu ni kiformula nilichojiwekea mwenyewe.
 
Naokota kuanzia 5000 chini ya 5000 siokoti. Zaidi ya mara 3 nimekuwa nikikuta 1000, 2000 imedondoshwa, kama tupo wawili namuonesha mwenzangu aokote, kama nipo peke yangu na kuna mtu nyuma yangu nitamwambia aiokote...Basi tu ni kiformula nilichojiwekea mwenyewe.
Duh wewe uko vizuri yaani hadi 1000, 2000 hauokoti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ukiona buku au buku mbili unipm nije kuiokota
Naokota kuanzia 5000 chini ya 5000 siokoti. Zaidi ya mara 3 nimekuwa nikikuta 1000, 2000 imedondoshwa, kama tupo wawili namuonesha mwenzangu aokote, kama nipo peke yangu na kuna mtu nyuma yangu nitamwambia aiokote...Basi tu ni kiformula nilichojiwekea mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilienda mahali na rafiki angu mmoja hivi,sasa tulipofika huko tulipoenda wakati nmeshuka tu kwenye gari chini nikaona sh.50 "nikaiokota" kisha nikwamwambia mwanangu, "ndugu yangu leo siku yangu itakua safi sana nimeokota hela" akaniuliza sh.ngapi? nikamjibu sh.50...
Ukweli wangu,naithamini sana pesa,huwa siachi change ata kama ni 50... ila sasa hua siokoti hela kabsa, nishaona 50, 100, 200, 500, 1000, na 2000 zmedodoshwa kwa nyakati tofauti sikuthubutu kuokota maake hua siokoti, siwez semea 5000 na 10000 maake sijawahi kutana na kiwango hicho.
 
kwangu ni tofauti kama niko kwenye daladala nikiona 50, 100, nk nampa konda. mtaani nikiona hiyo pesa namwacha niliye nae aokote kama niko mwenyewe siokoti.

Mara kibao tu natoka kwenda zoezi jioni barabarani naona 100, 200 nk wala sihangaiki nazo. juzi nikiwa zoezi asubuhi njiani niliokota simu hizi ndogo, kwa kweli hiyo niliokota japo kuna mwana nimemwachia pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli wangu,naithamini sana pesa,huwa siachi change ata kama ni 50........... ila sasa hua siokoti hela kabsa, nishaona 50, 100, 200, 500, 1000, na 2000 zmedodoshwa kwa nyakati tofauti sikuthubutu kuokota maake hua siokoti, siwez semea 5000 na 10000 maake sijawahi kutana na kiwango hicho.
Nmecheka hapo ulipofika kwenye 5000 na 10000 nilijua utaendelea ku flow

kama ulivyoanza mwanzo,mimi nakuombea wiki hii ukutane nazo uje utupe

mrejesho ila kwanini huokoti hizo coin zingine,unajiskiaje ukiokota au unajionaje?
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom