Maisha ya ndoa ni maisha ya kawaida kama maisha mengine, katika maisha yako ya kila siku kuna siku za furaha, siku za huzuni, siku za kucheka za kulia n.k
Sio kila anachotaka nawe utataka sio kila unachotaka wewe nae atataka hivo kutofautiana ni jambo la kawaida.
Kubali mapungufu, mvumilie uwezavyo na umuheshimu sana........