Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,738 Sep 27, 2013 #81 chama said: Mamndenyi mwandani wa roho sema jingine! Hilo tu! mbona nilishakuoa siku nyingi ndani ya moyo wangu! Nakamilisha taratibu zote za kumila na kidini tufanye harusi la kukata na shoka! Click to expand... Asante sana. nitazidi kukupenda zaidi na zaidi sana. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
chama said: Mamndenyi mwandani wa roho sema jingine! Hilo tu! mbona nilishakuoa siku nyingi ndani ya moyo wangu! Nakamilisha taratibu zote za kumila na kidini tufanye harusi la kukata na shoka! Click to expand... Asante sana. nitazidi kukupenda zaidi na zaidi sana.
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Sep 28, 2013 #82 Lady doctor said: Bila yeye unaishi kijijini tu! Click to expand... Nakuambia,tena nitaweza kuwa mkulima mzuri tu. Nalog off
Lady doctor said: Bila yeye unaishi kijijini tu! Click to expand... Nakuambia,tena nitaweza kuwa mkulima mzuri tu. Nalog off
JiweLinaloishi JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 3,737 Reaction score 2,139 Sep 30, 2013 #83 ladyfurahia said: kwa hiyo inamaanisha ya kwamba unani.........................:mad2::-* Click to expand... ntakuambia chemba...
ladyfurahia said: kwa hiyo inamaanisha ya kwamba unani.........................:mad2::-* Click to expand... ntakuambia chemba...
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Sep 30, 2013 #84 Ukimpenda mtu sawasawa, hata kimya tu kinasomeka na kueleweka. Ngoja nifanye eye contact atanielewa.