Sema Neno kwa Umpendaye

Nikupendaye chama
Niambie neno moja moyo
wangu utulie.

waridi la moyo wangu; kula raha za peponi
Nakupa huba langu; vingine katu sitamani
mtamu mithili ya changu; vidagaa nikomeni
Acha niseme kihaya; Mamndenyi ai ravu you

cc Bishanga
utakufa na hamu yako; kama kwa macho vyalika kula uvimbiwe!
sosoliso
umejitia umanju kwa ngoma ya husuda; hasidi wewe yatakushinda!
 
Last edited by a moderator:
Nitakuchukia utakapoanza kunipenda mehboob wangu...!
 
Bueno dia,Eu te amo muicho mi mujer,bila wewe mimi sijui nitaishi vipi hapa mjini!
Nalog off
 
chama mwaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!

 
Last edited by a moderator:
chama umeiba mistari ya bi kidude lol..
 
Last edited by a moderator:
sosoliso
Ukweli ni kwamba chama ananipenda sana;
Hiyo ni mistari ya kutoka moyoni mwake;
Kupendwa raha jamani.
chama asante sana.

Najua kwamba chama anakupenda sana.. Ila jee wewe wampenda..? Achana na Bishanga bingwa wa nyumba nyingi.. Kila akiona kichaka yeye anasikia mkojo lol.. Fungamana na ndugu yangu chama.. Ninaamini Mwenyekiti Baba V kwa kutumia mwongozo wa Tanu youth league ataithibitisha ndoa hii ya chama na Mamndenyi..
 
Last edited by a moderator:
sosoliso kikwetu wanawake hawatoa tangazo la ndoa,
atakapoamua chama atafanya hivyo, najua anatambua
mapenzi yangu kwake.

 
Last edited by a moderator:
sosoliso kikwetu wanawake hawatoa tangazo la ndoa,
atakapoamua chama atafanya hivyo, najua anatambua
mapenzi yangu kwake.
Mamndenyi
mwandani wa roho sema jingine! Hilo tu! mbona nilishakuoa siku nyingi ndani ya moyo wangu! Nakamilisha taratibu zote za kumila na kidini tufanye harusi la kukata na shoka!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…