Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,495
- 869,987
Ni upareni tu au ?hebu kuwa mkwelikama umezoea kuishi mjini hasa dsm ukipelekwa huko milimani na ukiona jinsi barabara zao zilivyochongwa kuzunguka hiyo milima kamwe hutarudi tena huko .