sema chochote kuhusu tanzania/watanzania

pera

Senior Member
Jul 19, 2011
148
16
sema chochote kuhusu tanzania/watanzania:
tanzania ni nchi ya amani watanzania ni wa2 wakarimu.............. ............
 
Watanzania ni w2 wanaoogopa vita ndo maana wananyonywa...............
 
tanzania ni nchi yenye viongozi wapuuzi wasioshughulukiwa wala kuchukuliwa hatua na wananchi wake kujisifia wana amani!!!...
 
Back
Top Bottom