ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,836
- 25,021
SUPER MARIOOOOO unaanzaje kumchukia wakati ndio habari ya mjiniYangu naachukia wadada wanaojishaua na maisha yakupretend na pia nachukia kuringiwa na mabosi wanaojiona na wanadaiwa mikopo.
Nachukia wakaka wanaopiga wadada na kuwanyanyasa.
Nawachukia mamario.