Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijui Kwa nn watu hawapendi ku confess kwenye hili jambo..siyo kwmb wewe ulikuwa mwanachama mkuu??


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
watu wanaogopa ku confess kwasababu ya hofu na kwasababu wapo kwenye bondage lakini watu wanafiki mtu anaweza kuelezea jambo unamtangaza na kumuona wa ajabu .. Binafsi mie ni private nikisema nilifanya haiwezi ku prove na nikisema sijafanya haiwezi ku prove .. but nintatizo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…