Selfika na JF: Snap it. Show it

Naam mapenzi sio ugomvi. Hapo mama anafaidi, mama anafaidi. Hamna kuchoshana.
Vijana na watoto wengi hawajui , hata namna ya kufanya sex.. wao wanaona kidudu na kikei vikilowana wanagusanisha pump bilingi bilingi chali kwamba ndio raha.. wakati kuna zaidi ya hapo wengi hawajua Art of haya mambo.. sex ni Art
 
Wape somo vijana.
Sisi wahenga tunawaangalia tu wanavyochoshana. Ndio maana kimoja tu kijana hoi hadi anapepewa apate hewa 🀣🀣
 
Mwambie rich aunty anampa hi sana😍😍
Anitumie voice note😊

Btw umependeza japo umetubania rangi ila kizuri hakifichiki😘
Kasema next month uje umpeleke clinic

Yan ulitaka niweke ya rangi? Na simu ya baba mtoto ni iPhone πŸ‘€ 3 makubwa πŸ˜€ tabia zake si nilishakuambiaga?

Juani inaweza kukutoa mwarabu koko
Kumbe mtu cheusi mangala
 
Wape somo vijana.
Sisi wahenga tunawaangalia tu wanavyochoshana. Ndio maana kimoja tu kijana hoi hadi anapepewa apate hewa 🀣🀣
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… yaani taaabu sana, unakuta mtu ana mzigo wa makololo mwilini, kijana nae anapiga mundende na koka na panadol yani kama wanakufa kesho, wakifika hakuna story .. yaani ni fujo mwanzo mwisho.. nguvu hawezi kuwa nazo kwasababu akili zinatazama sex kwa muono ulio negative ila kwa ufupi hakuna mwanaume asie na nguvu za kiume .. inabidi tuokoe hawa vijana wanajiita wazee wa hardcore sex πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… vijana hata hawajui raha ya michezo funn chumbani .. vijana wachache sana utawakuta wana hizi moments siku hizi..
 
Kasema next month uje umpeleke clinic

Yan ulitaka niweke ya rangi? Na simu ya baba mtoto ni iPhone πŸ‘€ 3 makubwa πŸ˜€ tabia zake si nilishakuambiaga?

Juani inaweza kukutoa mwarabu koko
Kumbe mtu cheusi mangala
Mwambie takuja kumpeleka baby girl wetu😘

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni tungekataa kua sio wewe, tungekua umeiba picha ya wenyew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…