Heaven Sent
Hivi the so called amplified bible uwa inatumiwa na watu gani?
Mf. Hapa kiTz
7bu iko wazi kila dhehebu wana biblia zao.. biblia ya Msabato ukiingia nayo Katoliki lazima mpishane na msoma neno.
Amplified biblia ni ya wapi? Au ni ya abroad pipo? Na je inafata muongozo wa KJV?