Utanitumia namba ya headmaster kwenye sanduku la waziri mkuu, wewe ndio mjukuu wangu humu ndaniAbee babu
Oh sawa babu 😜😜😜Utanitumia namba ya headmaster kwenye sanduku la waziri mkuu, wewe ndio mjukuu wangu humu ndani
Mama yetu huyu ila hakuna namna ngoja tuendelee naeWala asali awamu ya mama.
JMT; Kazi iendeleeee
Kwa waziri mkuu tuonane mjukuu wanguBabu naomba adress nikimaliza shule nilete job application 😜
😂😂😂 ndioSielewi ni makusudi au accidentally..
Au ile ya miwani ya yanga 😂😂😂🙌
Mama anatosha hakikaMama yetu huyu ila hakuna namna ngoja tuendelee nae
Weeee kumbe ni saa 11 😂😂😂 na hunishtui?😂😂😂 ndio
Hakika tumepata kubarikiwa 😊😊😊
Hiiiiiiiiiiiiii, wewe njemba nakupata wewe...... 😁
Nibariki na mimi bossHakika tumepata kubarikiwa 😊😊😊
Humu jf kuna hadi baba zetu
Shikamoo baba mkwe
Humu jf kuna hadi baba zetu
Ila si ajabu tunabishana nao majukwaani huko bila kujua[emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app