Yeah! He became a celebrity mpaka akatengenezewa na movie. Na episode yake ya Air Disasters yeye na abiria wanavyoelezea jinsi msala mzima ulivyokuwa inavutia sana.
Nyie marubani aisee mna moyo mgumu sana. Huwa sina amani kabisa kwenye ndege yaani na huwa sitaki hata kuwe na turbulence ya aina yo yote.... View attachment 2228689
Yah mnaweza gombana kwa kitu kidogi sana.
From there kila mtu anapiga kimya..
Baadae sana unagundua ulikosea na ndo haswa mtu sahihi.
Kurudi uombe radhi unashindwa na ndio imetoka hivyoo
Yah mnaweza gombana kwa kitu kidogi sana.
From there kila mtu anapiga kimya..
Baadae sana unagundua ulikosea na ndo haswa mtu sahihi.
Kurudi uombe radhi unashindwa na ndio imetoka hivyoo