Selfika na JF: Snap it. Show it

Hatujasema kuwa wanawake wote ni gold diggers. Point hapa ni kwamab women look for security that money provides. Its that simple. Sio kwamba mwanamke anapenda. Mwanamke anamuheshimu mwanaume kwa sababu ya hela aliyokuwa nayo
 
Mapenz hisia ingkuwa ni kupelekeana Moto kunawanaume wangekuwa single had wanafariki,somtym tunaset akili tuamini hivo lkn love is pure sio hela sio kupelekeana Moto
Wee wacha zako bwana love sio kupelekeana moto🤣🤣🤣🤣 now i bliv wee sio mwanadamu ni robot. Ndoa henyewe iliki ikamilike lazima mgegeduane
 
Hatujasema kuwa wanawake wote ni gold diggers. Point hapa ni kwamab women look for security that money provides. Its that simple. Sio kwamba mwanamke anapenda. Mwanamke anamuheshimu mwanaume kwa sababu ya hela aliyokuwa nayo

Tayari una perception mbaya juu ya wanawake
Ah ukishapenda hutoangalia mambo ya security wala nini .. wangapi walitamani kupata wanaume wenye pesa ila wameangukia kwingine .
 
Sijaktaa ili iwe ndoa lazima tendo la ndoa lihusike lkn na mm Sijasema lisifanyike kabisa lkn sio challenge ya kumzuia mtu kupenda bhna
Tunaoa na kuolewa ili tupate wakupelekeana moto. Haya mambo ya sijui nini nini ni by the way tuu.

Nyie sii mnalalamika kuwa wanaume hawataki kuoa....why? Becoz kile kitu muhimu na kikubwa kwenye ndoa tayari kinalatikana kwa urahis mtaani.

Ndoa ni kugegeduana kwa 90%
 
Wewe ujue kuna wanawake wanaeza penda bila kujali sana una kitu gani. Mapenzi si hela tu.
money is tangled up with love, mkiwa kwenye mahusiano lazima mtakua mna plans za baadae, mtahitaji kupanga nyumba, kujenga, kuwa na watoto, kwenda vacations, kununua magari n.k, ni ngumu kutenganisha hivyo vitu kwa hizi nyakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…