Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,362
Nitakufundisha,usiogopeHiyo toka tumboni mwa mama sijawai onja hadi asahivi.. nyie chapeni tu π π π
Sawa mkuuMkuu kama Dr . Dree kuna picha yake moja acha niicheki hapa
Mama Junia [emoji7]
Barikiwa mnoo katibu.π!Kwa heshma na taadhima naomba Leo hakutakuwa na kikao naomba kila mtu awe huru wa kukaa akae wa kuzunguka majukwaa mengine hewaraa!!, ni hayo tu π€£ π€£π¨βπ«πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Duniani wawili wawili banaaaπββοΈπββοΈWeee umekaimu unatka umpite mwenyekit sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shukrani sana mdogo wangu... Sasa naweza kupumzisha fuvu langu.!!!πΆπΆ
NIkuone kwanza mwanafunzi wanguAdimu Sana sasa mbna emoj mwalimu unapumua kweli
Wewe ni π₯π₯π₯π₯
Bado sijachukua [emoji1751]Zimekua haraka
Zile products ulichukua?
Nakutumia kichekesho saiviππππ nina stika mpya
Nasubiri unichekeshe n kichekesho kipya
Auntie wa JuniaMama Junia [emoji7]
Duh[emoji1787][emoji1787]
Ulale salamaShukrani sana mdogo wangu... Sasa naweza kupumzisha fuvu langu.!!![emoji124][emoji124]
Bado sijachukua [emoji1751]
Nakosa muda wa kwenda mjini
Vile vibutu nilisuka vimesaidia kidogo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app