Haa jaman si ulisema ulishaacha hizo mambo, hurudi tena huko. Nini shida tenaAu basi acha kesho niende zanzibar hata kazi ya ubeki tatu sitaki 😬😬😬 acha niote pembee kuanzia kesho narudi chamani narudi kuwa papa big boys ... unyongeee basiii ... zanzibari moyaaa hiyo
Wewe share,,Mimi nitaangalia kama panafikikaUsiku huu utaweza kweli ku kamu 😀😀 au ndio nitabaki nalinda nje
😅😅😅 Big boys daima huwa ni big boysHaa jaman si ulisema ulishaacha hizo mambo, hurudi tena huko. Nini shida tena
🤔 🤔 We mwingine unasema hivyo.Pilot kama mzungu jamani
Eeh ni mweupe sana ndugu rubani🤔 🤔 We mwingine unasema hivyo.
Handsome
Kama ulivyoona.. huna kengeza wala chongoHeee
Hivi ni kengeza langu limeona vibaya avatar?
Basi nimeacha, samehe mimi😂😂😂😂Nitakuzingua 🤣🤣🤣🤣
WeeehWizooo
Mbona umejiziba sana jmn
Haya wacha , natumaini ulisoma Geography 😀😀😀Wewe share,,Mimi nitaangalia kama panafikika
🥺
Shule yenyewe ishanipiga chini🥺Haya wacha , natumaini ulisoma Geography 😀😀😀View attachment 2227160
Muba mubeeee mubiiiiiBasi nimeacha, samehe mimi😂😂😂😂
🫣🫣🫣🫣 Hii unachokaje aseee.. wengine tunaanza semester one asahiviShule yenyewe ishanipiga chini🥺
Nisomee hiyo lokesheni😔🫣🫣🫣🫣 Hii unachokaje aseee.. wengine tunaanza semester one asahivi
Beef and VeggieNimeona majani majani tu 🤣🤣🤣
😅😅😅 kesho alfajiri nakuja kafuru kukuona au nije kinyerezi park tupige kitimotoNisomee hiyo lokesheni😔
Ooh ahsante mzunguBeef and Veggie
Ahsante sana.Una bichwa zuri.. sema ahsante