Weee mtoto wa kishua unaona ajabu humu kupata hewaaa π₯Ήπ₯Ήπ₯Ή hapa baridi kweli kweli natamani nimkumbatie mtu sema vyanzooo sasa ndio tafraniii π₯Ήπ₯Ήπ₯Ή
Umenitamanisha, nisije ahirisha safari lengwa nikajikuta huko π€π€π€π€π€ ila inabidi tuanze fikiria kununua boti letu eeh .. any time unaamsha au ki private jet eeh