😬😬 ila basi ndio dar es salaam, ila Lenie mcheshi hadi rahaa eee.. nenda kanywe kahawa naona amekutengea hapo mezani mie nitawacheki kesho nyie si bado mnapiga mastory
ila basi ndio dar es salaam, ila Lenie mcheshi hadi rahaa eee.. nenda kanywe kahawa naona amekutengea hapo mezani mie nitawacheki kesho nyie si bado mnapiga mastory
Watu wa dar es salaam acha tu, bila Lenie tungelala stand 😅😅😅 basi we kapige story na Lenie mie ngoja nilale zangu maana nimechoka sana, nilitembea kutoka kimara hadi mbezi mwisho
spidernyoka mie usingizi nimetembezwaaa sanaaa , nyie pigeni tu story chakula nitakula asubuhi mnibakizie tu kipolo cha wali maharage nakielewa sana kwa asubuhi
spidernyoka mie usingizi nimetembezwaaa sanaaa , nyie pigeni tu story chakula nitakula asubuhi mnibakizie tu kipolo cha wali maharage nakielewa sana kwa asubuhi