Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Nov 1, 2019 #19,541 Moo Click said: Nitakuloga wewe uko wap kwanza Click to expand... Karibu na ulipo kaa bana
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,493 Nov 1, 2019 #19,542 maisha yenyewe ndiyo haya haya ukizubaa utaendelea kushindia ugali wa mama Saint anne said: Aisee..naona tunapangana tu Click to expand...
maisha yenyewe ndiyo haya haya ukizubaa utaendelea kushindia ugali wa mama Saint anne said: Aisee..naona tunapangana tu Click to expand...
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 23,503 Reaction score 29,900 Nov 1, 2019 #19,543 Karma said: Tena wewe ndio kabisa Click to expand... Kwamba ?
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,493 Nov 1, 2019 #19,544 yeah ni kweli kiuhalisia iwe mwanamke au mwanaume akitongozwa hapo hapo akakubali anakuwa cheap ila si unajua tena mitazamo ya jamii yetu hii mwee Sakayo said: Mimi ningemuona cheap kwa kweli, yaani akubali siku hiyo hiyo jamani! Click to expand...
yeah ni kweli kiuhalisia iwe mwanamke au mwanaume akitongozwa hapo hapo akakubali anakuwa cheap ila si unajua tena mitazamo ya jamii yetu hii mwee Sakayo said: Mimi ningemuona cheap kwa kweli, yaani akubali siku hiyo hiyo jamani! Click to expand...
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Nov 1, 2019 #19,545 Karma said: sasa pm si umefunga?? Hivi kumbe bado unakumbuka ile siku uliyonimaindi enh?? Mie hata sikuuliza kwa ubaya ila ulishindwa kunielewa tu but sikuchukia ndiyo maana niliendelea kukutania Click to expand... Wala sikumind! Nilishangaa tuu nilijibiwa kwa gazeti, halafu nikajibu sawa mkuu!
Karma said: sasa pm si umefunga?? Hivi kumbe bado unakumbuka ile siku uliyonimaindi enh?? Mie hata sikuuliza kwa ubaya ila ulishindwa kunielewa tu but sikuchukia ndiyo maana niliendelea kukutania Click to expand... Wala sikumind! Nilishangaa tuu nilijibiwa kwa gazeti, halafu nikajibu sawa mkuu!
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Nov 1, 2019 #19,546 Karma said: yeah ni kweli kiuhalisia iwe mwanamke au mwanaume akitongozwa hapo hapo akakubali anakuwa cheap ila si unajua tena mitazamo ya jamii yetu hii mwee Click to expand... Naelewa mitazamo yao dear ila kila mtu ako na misimamo yake mamii
Karma said: yeah ni kweli kiuhalisia iwe mwanamke au mwanaume akitongozwa hapo hapo akakubali anakuwa cheap ila si unajua tena mitazamo ya jamii yetu hii mwee Click to expand... Naelewa mitazamo yao dear ila kila mtu ako na misimamo yake mamii
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,493 Nov 1, 2019 #19,547 vipi na wewe umeshalikoroga kule siasani nini? Saint anne said: Nitakujibu kule. Hapa sitaki kuongea kabisa. Click to expand...
vipi na wewe umeshalikoroga kule siasani nini? Saint anne said: Nitakujibu kule. Hapa sitaki kuongea kabisa. Click to expand...
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Nov 1, 2019 #19,548 Karma said: Daah basi inshaallah Mungu akiendelea kutujalia uzima ipo siku nitafika Muheza na ningependa uwe mwenyeji wangu,, na vyenye napenda kuzurura sasa.. Click to expand... Karibu sana jamani!!
Karma said: Daah basi inshaallah Mungu akiendelea kutujalia uzima ipo siku nitafika Muheza na ningependa uwe mwenyeji wangu,, na vyenye napenda kuzurura sasa.. Click to expand... Karibu sana jamani!!
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,493 Nov 1, 2019 #19,549 Kuna mtu ulimpa simu eti?? Sakayo said: Unafikiri ni mimi basiiii?!??!?!? Click to expand...
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 23,503 Reaction score 29,900 Nov 1, 2019 #19,550 Huu uzi umegeuka kijiwe cha kupiga soga wakati lengo lake ni kutuma selfies. Tunakwama kutupia hizo selfies ? Eti wewe Sakayo Atoto Mzigua90 Karma Shunie Demiss mnakwama wapi ?
Huu uzi umegeuka kijiwe cha kupiga soga wakati lengo lake ni kutuma selfies. Tunakwama kutupia hizo selfies ? Eti wewe Sakayo Atoto Mzigua90 Karma Shunie Demiss mnakwama wapi ?
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 23,503 Reaction score 29,900 Nov 1, 2019 #19,551 Kapwil said: Mkuu mbona umepaniki?mbona una hasira sana Click to expand... Mwambie afafanue hapo aliposema ana marafiki wachache wakati huo huo yeye ni mtu wa watu
Kapwil said: Mkuu mbona umepaniki?mbona una hasira sana Click to expand... Mwambie afafanue hapo aliposema ana marafiki wachache wakati huo huo yeye ni mtu wa watu
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Nov 1, 2019 #19,552 Karma said: Kuna mtu ulimpa simu eti?? Click to expand... Kwani tunazungumzia nini eti jamani
Khalifavinnie JF-Expert Member Joined May 19, 2017 Posts 2,840 Reaction score 2,425 Nov 1, 2019 #19,553 Mbugusi
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Nov 1, 2019 #19,554 DiasporaUSA said: Huu uzi umegeuka kijiwe cha kupiga soga wakati lengo lake ni kutuma selfies. Tunakwama kutupia hizo selfies ? Eti wewe Sakayo Atoto Mzigua90 Karma Shunie Demiss mnakwama wapi ? Click to expand... Mbona umeniweka wa kwanza?! Mie kwetu wa mwisho jamani!
DiasporaUSA said: Huu uzi umegeuka kijiwe cha kupiga soga wakati lengo lake ni kutuma selfies. Tunakwama kutupia hizo selfies ? Eti wewe Sakayo Atoto Mzigua90 Karma Shunie Demiss mnakwama wapi ? Click to expand... Mbona umeniweka wa kwanza?! Mie kwetu wa mwisho jamani!
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,249 Nov 1, 2019 #19,555 Hamna Karma said: vipi na wewe umeshalikoroga kule siasani nini? Click to expand... Sema Kuna watu nawapiga chenga yaani..naogopa kuchanganya mafile hapa
Hamna Karma said: vipi na wewe umeshalikoroga kule siasani nini? Click to expand... Sema Kuna watu nawapiga chenga yaani..naogopa kuchanganya mafile hapa
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,773 Reaction score 40,444 Nov 1, 2019 #19,556 Karma said: Aiseee,, maana yake ni nini eti?? Click to expand... Njoo pm nikwambie. Hapa siwezi kusema.
Karma said: Aiseee,, maana yake ni nini eti?? Click to expand... Njoo pm nikwambie. Hapa siwezi kusema.
Pengobovu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 482 Reaction score 546 Nov 1, 2019 #19,557 Nimependa ulivyomalizia 'Jamii yetu hii mwee' sounds familiar....Kimbeya mbeya Karma said: yeah ni kweli kiuhalisia iwe mwanamke au mwanaume akitongozwa hapo hapo akakubali anakuwa cheap ila si unajua tena mitazamo ya jamii yetu hii mwee Click to expand...
Nimependa ulivyomalizia 'Jamii yetu hii mwee' sounds familiar....Kimbeya mbeya Karma said: yeah ni kweli kiuhalisia iwe mwanamke au mwanaume akitongozwa hapo hapo akakubali anakuwa cheap ila si unajua tena mitazamo ya jamii yetu hii mwee Click to expand...
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,493 Nov 1, 2019 #19,558 Nahisi haujanizidi mimi katika maisha yangu sipendi kuomba sijui kwanini,, yaani umri huu tu eti naonaga aibu kuwaomba hata wazazi wangu hela japo wao wananiona bado mtoto wananiambia zikiisha niwaambie.. Sakayo said: Mimi hata vizinga siwezagi kupiga!! Naweza ishiwa naanza kulia mimi, naogopa kuomba!! Click to expand...
Nahisi haujanizidi mimi katika maisha yangu sipendi kuomba sijui kwanini,, yaani umri huu tu eti naonaga aibu kuwaomba hata wazazi wangu hela japo wao wananiona bado mtoto wananiambia zikiisha niwaambie.. Sakayo said: Mimi hata vizinga siwezagi kupiga!! Naweza ishiwa naanza kulia mimi, naogopa kuomba!! Click to expand...
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,493 Nov 1, 2019 #19,559 Ndoa za mitala hazikuhusu DiasporaUSA said: Kwamba ? Click to expand...
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 23,503 Reaction score 29,900 Nov 1, 2019 #19,560 Sakayo said: Mbona umeniweka wa kwanza?! Mie kwetu wa mwisho jamani! Click to expand... Acha kudeka mkuu
Sakayo said: Mbona umeniweka wa kwanza?! Mie kwetu wa mwisho jamani! Click to expand... Acha kudeka mkuu