Kwani huwez kupigana?mbagala tena, palipo na panya road .. asante kwakweli π₯²π₯²π₯²π₯²
Mh!! Ngoja tumsubirie, naona kuna sura ngeni za wajumbe wapya au bado wa kikao cha kwanza hawajaotoka!!Bado mjumbe Kelsea hajasaini kwenye daftari la mahudhurio la jioni na sijapata taarifa zake karibu!!
Niliona hilo nikasubiri utoe mwongozo mwenyekiti!!!Mh!! Ngoja tumsubirie, naona kuna sura ngeni za wajumbe wapya au bado wa kikao cha kwanza hawajaotoka!!
Natumaje ya kutolea mwenye hapa nimebaki na nauli ya kuondokea kama nitaachwa kwenye mataaa
ππππ Labda kama utakuja niteteaKwani huwez kupigana?
Inawezekana mkuuau tumeitwa woteee mkuu [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] tupo kwenye que
Ndio tusubirie muda uleeeeeeeee!
Me ndio mwenyeji wako, so hilo usiwaze kabisaππππ Labda kama utakuja nitetea
Huenda mwenzangu mambo ni π₯π₯π₯π₯ mie bado napigwa na baridiii tuuu hapa
Usinitendee na wewe kama huyu naniii ... nifike hapo usizime simu π’π’π’π’Me ndio mwenyeji wako, so hilo usiwaze kabisa
Kuja mbezi nipo hapa na _KingKaka Handsome kumbe upo hapa na husemi..
Naomba nikuone aiseee.
ππUsinitendee na wewe kama huyu naniii ... nifike hapo usizime simu π’π’π’π’
aje aokoe jahazi aisee ππ
Nakuamini kidogooo tuuu π¬π¬π¬π¬ mguu mmoja ndani mwingine njeeeππ
Hadi mimi huniamini jamani
HahahaaaNakuamini kidogooo tuuu π¬π¬π¬π¬ mguu mmoja ndani mwingine njeee
itokeee wapi, simu enyewe haipatikani kafunga kabisaaa , nimejishika tu kichwaaa π€¦ββοΈπ€¦ββοΈHahahaaa
Siwezi kukutenda hvyo, hiyo pisi haijatokea tu adi saivi?
Me pia nipo napigwa na barid apaaje aokoe jahazi aisee [emoji41][emoji41]