Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” Naona unapenda sana kuinywa!!
  1. Improves Your Mood​

  2. Reduces Chance of Diabetes​

  3. Improves Digestion​

  4. Aids in Weight Loss​

  5. Lowers Risk of Stroke​

  6. Low in Calories​

  7. Boosts Physical Activity​

  8. High in Antioxidants​

  9. Improves Concentration​

  10. Strengthens Long-Term Memory​

 
mayonnaise na chips ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ ila isije kuwa tunakosa kwasababu wanadhani tupo dar pure
Hakuna chakula cha mwanamke wala mwanaume, sasa kama mtu anakula chips, burger na mayonnaise unamwita mwanaume wa Dar, mayonnaise imetengenezewa mayai, vinegar, chumvi n.k, sasa kama mayonnaise ni ya wanawake usile mayai, kwa maana yai ndilo limetengeneza hio mayonnaise, usitumie na lemon, sasa ukichunguza recipe za mayonnaise ndizo hizo hao wanaume wa mikoani wanatumia kwenye vyakula kila siku.

Sasa na wao ni wanaume wa Dar wenzetu, na mayonnaise sitoacha kula.
 
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mayonnaise tunaanzaje kuacha kula na wakati nzuri sanaaa , huwa wasipo wake ya kutosha huwa nalipia hata waongeze nzuri sana.. watu watakuwa na magomvi binafsi na wanaume wa dar au wana waonea wivu
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
_King hebu mpatie rubani io Kitu unakunywa kwanza arelax kidogo;!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
_King hebu mpatie rubani io Kitu unakunywa kwanza arelax kidogo;!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… goja amalize kwanza kula hapo, alafu ashushie ili digestion ifanyike huku tunasubiri mtupie kwanza πŸ€¦β€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…