Kilimanjaro lager huwaleta marafiki pamoja
π π π mashangazi mna hela hamna ubahiri kuliko size zetuuhahahaaaa... shangazi watakuzeesha tu Mabinti Ndio wanakufaa wewedamu bado inachemka! Mashangazi washakula sana sana ujana saivi hawatamaniki na hekaheka zenu hawaziwezi!
Yaani ni balaa [emoji23]Yani huyu ameshindikana kwakweli anaona hata akipiga kinywaji tunafaudu!! Hata majani basi au anga kama mama mchungaji huo ubahili sio wa nchi hii [emoji1787][emoji23]!
Nilipatie wap shost?Shost ili goma unalipata? Lenie
Waaaa ile sound sio poa π₯
Wake up
Collect ur money
Donβt sleep
Lemme see you π₯
Go lo lo π€£
Buga lo lo loo View attachment 2225511
hahahaha.ngoja ndo kwanza 6.bd km 14 hv.ndo naeza kukoseaImeanza kukolea sio!! selfika hata hio Kilimanjaro mjeda kha!!ππππ
mjeda ππππππππ,!!hahahaha.ngoja ndo kwanza 6.bd km 14 hv.ndo naeza kukosea
Kuna kengine kanaitwa βmtoto wa mtu.. nilikuwa nasikiliza radio nikakutana nako, ni moto ππNilipatie wap shost?
Kaimba nani, maneno yake yanachekesha mbonaπ
leo msikae mbaliKweli aisee
Do the needful mtu chake
Asante Ila aliemenya ilo chungwa ashtakiwe[emoji16]
kuwa mvumilivumjeda ππππππππ,!!
Hahahaa nataka huo 'mtoto wa mtu' ni singeli?Kuna kengine kanaitwa βmtoto wa mtu.. nilikuwa nasikiliza radio nikakutana nako, ni moto ππ
Basi hapa nafanya tu repeating tu.
Huo Nenda YouTube, kiss Daniel na Tekno βunaitwa Buga.. ni ka vibe amazing, haswa hiyo kiitikio.
[emoji23][emoji23]dahUkiselfika full hilo tatizo linaisha
Ungetupia mida hii rafikileo msikae mbali
Sitakiiiii!!! Unazingua mnoo mjeda hata kupiga mapazia ukaselfika basi ??kha!!π πkuwa mvumilivu
Huyo Labda awe amerogwa !!Ungetupia mida hii rafiki
HahaHuyo Labda awe amerogwa !!
huu muda wa kujumuika ndugu.jamaa na marafiki.na kili timeUngetupia mida hii rafiki
Haya Enjoyhuu muda wa kujumuika ndugu.jamaa na marafiki.na kili time