Nations JF-Expert Member Joined May 4, 2022 Posts 4,892 Reaction score 16,997 May 15, 2022 #195,201 mtu chake said: hahahahaha Click to expand... hahahahaha
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 May 15, 2022 #195,202 _King said: Na nyie mnatinyanyasa sanaaaa π₯²π₯²π₯² kama wewe asubuhi umenichinjia kabisa baharini bado nina sikia ushunguuu Click to expand... usifanye hivyo bwana.
_King said: Na nyie mnatinyanyasa sanaaaa π₯²π₯²π₯² kama wewe asubuhi umenichinjia kabisa baharini bado nina sikia ushunguuu Click to expand... usifanye hivyo bwana.
Post M-alone JF-Expert Member Joined Aug 18, 2021 Posts 2,962 Reaction score 9,557 May 15, 2022 #195,203 _King said: hiyo fanya kunitumia au kushare kule GitHub nifanye ku install chap chap ili twende kidogo sawa Click to expand... Ngoja narudi mkuu, mambo ya github yaelekea na wewe utakuwa mbaya sana kwenye IT. Narudi mkuu.
_King said: hiyo fanya kunitumia au kushare kule GitHub nifanye ku install chap chap ili twende kidogo sawa Click to expand... Ngoja narudi mkuu, mambo ya github yaelekea na wewe utakuwa mbaya sana kwenye IT. Narudi mkuu.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,313 May 15, 2022 #195,204 _King said: Mkuu kazi inaendelea au mkakati unemekufa toka janaaa.. Madama mahondaw unapitwa huku π π π Click to expand... Lol asante baba pasta ngoja nianzie nilipoishia jana
_King said: Mkuu kazi inaendelea au mkakati unemekufa toka janaaa.. Madama mahondaw unapitwa huku π π π Click to expand... Lol asante baba pasta ngoja nianzie nilipoishia jana
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,255 May 15, 2022 #195,205 _King said: Nahamia kabisaa tu huko mambo yanguu hayaaa Click to expand... Karibu,tukupe na shamba ulime, Muda sahihi kabisa,muda wa mavuno. Sent using Jamii Forums mobile app
_King said: Nahamia kabisaa tu huko mambo yanguu hayaaa Click to expand... Karibu,tukupe na shamba ulime, Muda sahihi kabisa,muda wa mavuno. Sent using Jamii Forums mobile app
Nations JF-Expert Member Joined May 4, 2022 Posts 4,892 Reaction score 16,997 May 15, 2022 #195,206 Kelsea said: usifanye hivyo bwana. Click to expand... ushunguuuu sanaaa basi tu hadi roho inaumaaa πππ
Kelsea said: usifanye hivyo bwana. Click to expand... ushunguuuu sanaaa basi tu hadi roho inaumaaa πππ
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,313 May 15, 2022 #195,207 Heaven Sent said: Saint Anne Depal mahondaw Tinsley cocastic Tukutane baadaye na kajambo ketu View attachment 2225341 Click to expand... Asante sana mama mchungaji barikiwa mnoo! Natamani kujua hayo maua yamewekwaje kwenye hio nguo!!
Heaven Sent said: Saint Anne Depal mahondaw Tinsley cocastic Tukutane baadaye na kajambo ketu View attachment 2225341 Click to expand... Asante sana mama mchungaji barikiwa mnoo! Natamani kujua hayo maua yamewekwaje kwenye hio nguo!!
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 May 15, 2022 #195,208 mawardat said: Kwetu huku,kwenye ziwa lenye utata Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huko ka eneo ka beach hata kama porini kabisa ndani ndani sipati? Napenda utulivu na maji
mawardat said: Kwetu huku,kwenye ziwa lenye utata Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huko ka eneo ka beach hata kama porini kabisa ndani ndani sipati? Napenda utulivu na maji
Nations JF-Expert Member Joined May 4, 2022 Posts 4,892 Reaction score 16,997 May 15, 2022 #195,209 Post M-alone said: Ngoja narudi mkuu, mambo ya github yaelekea na wewe utakuwa mbaya sana kwenye IT. Narudi mkuu. Click to expand... Kwenye Profile za eLearnsecurity nipo kule share tu huko ndio patamu labda watatuelewa
Post M-alone said: Ngoja narudi mkuu, mambo ya github yaelekea na wewe utakuwa mbaya sana kwenye IT. Narudi mkuu. Click to expand... Kwenye Profile za eLearnsecurity nipo kule share tu huko ndio patamu labda watatuelewa
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,620 May 15, 2022 #195,210 Heaven Sent said: Saint Anne Depal mahondaw Tinsley cocastic Tukutane baadaye na kajambo ketu View attachment 2225341 Click to expand... Aisee, ni ndoa hii? Una miguu mizuri...(mimi naendeleza kusifia)
Heaven Sent said: Saint Anne Depal mahondaw Tinsley cocastic Tukutane baadaye na kajambo ketu View attachment 2225341 Click to expand... Aisee, ni ndoa hii? Una miguu mizuri...(mimi naendeleza kusifia)
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,255 May 15, 2022 #195,211 The Monk said: Huko ka eneo ka beach hata kama porini kabisa ndani ndani sipati? View attachment 2225379 Napenda utulivu na maji Click to expand... Unapata,yaani soon mbamba bay,itazipuku wilaya zote za Ruvuma. Sent using Jamii Forums mobile app
The Monk said: Huko ka eneo ka beach hata kama porini kabisa ndani ndani sipati? View attachment 2225379 Napenda utulivu na maji Click to expand... Unapata,yaani soon mbamba bay,itazipuku wilaya zote za Ruvuma. Sent using Jamii Forums mobile app
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,313 May 15, 2022 #195,212 Kelsea said: Hellow!!View attachment 2225374 Click to expand... Umependeza dear sogeza kwa juu nione hio fashiooonnnn!!
Kelsea said: Hellow!!View attachment 2225374 Click to expand... Umependeza dear sogeza kwa juu nione hio fashiooonnnn!!
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,620 May 15, 2022 #195,213 Kelsea said: Hellow!!View attachment 2225374 Click to expand... Safi sana Kelsea, j2 zinakuwaga hot sana humu.
Kelsea said: Hellow!!View attachment 2225374 Click to expand... Safi sana Kelsea, j2 zinakuwaga hot sana humu.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,313 May 15, 2022 #195,214 Na _King baba pasta Hizo Picha mnazipeleka wapi lakini???? π€π€π€π€π€ Post M-alone said: kwa hio nikutumie ama inakuaje, ngoja niongee na IT wangu, tena ni nzuri sana ukitumia, siku nzima unakuta picha zote. Click to expand...
Na _King baba pasta Hizo Picha mnazipeleka wapi lakini???? π€π€π€π€π€ Post M-alone said: kwa hio nikutumie ama inakuaje, ngoja niongee na IT wangu, tena ni nzuri sana ukitumia, siku nzima unakuta picha zote. Click to expand...
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 May 15, 2022 #195,215 mahondaw said: Asante sana mama mchungaji barikiwa mnoo! Natamani kujua hayo maua yamewekwaje kwenye hio nguo!! Click to expand... Haya aliyashonea kwa mkono
mahondaw said: Asante sana mama mchungaji barikiwa mnoo! Natamani kujua hayo maua yamewekwaje kwenye hio nguo!! Click to expand... Haya aliyashonea kwa mkono
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,620 May 15, 2022 #195,216 mahondaw said: Umependeza dear sogeza kwa juu nione hio fashiooonnnn!! Click to expand... Mkuu, naamini umeshatoka church, sasa ukitupia swagga za church huoni uzi utanoga sana(mimi nitasifia tu, kidding)
mahondaw said: Umependeza dear sogeza kwa juu nione hio fashiooonnnn!! Click to expand... Mkuu, naamini umeshatoka church, sasa ukitupia swagga za church huoni uzi utanoga sana(mimi nitasifia tu, kidding)
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,313 May 15, 2022 #195,217 Kelsea said: Nyiee mnatutisha sasa Click to expand... Hahahahahaha ... wasiende tu kututoa kafara huko π€£π€£π€£πππ!!
Kelsea said: Nyiee mnatutisha sasa Click to expand... Hahahahahaha ... wasiende tu kututoa kafara huko π€£π€£π€£πππ!!
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 May 15, 2022 #195,218 ERoni said: Aisee, ni ndoa hii? Una miguu mizuri...(mimi naendeleza kusifia) Click to expand... Ndoa tena brod darling, kisa white outfit? Ni ibada tu Huo mguu ni ahsante angle picha ilipochukuliwa, bila hivyo
ERoni said: Aisee, ni ndoa hii? Una miguu mizuri...(mimi naendeleza kusifia) Click to expand... Ndoa tena brod darling, kisa white outfit? Ni ibada tu Huo mguu ni ahsante angle picha ilipochukuliwa, bila hivyo
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,313 May 15, 2022 #195,219 Heaven Sent said: Haya aliyashonea kwa mkono Click to expand... ahaaa mama pasta kwa fashiooonnππππππππ!!! Simama nionepo juu imekaaje pullliiiizzzzz!!ππ
Heaven Sent said: Haya aliyashonea kwa mkono Click to expand... ahaaa mama pasta kwa fashiooonnππππππππ!!! Simama nionepo juu imekaaje pullliiiizzzzz!!ππ
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,620 May 15, 2022 #195,220 Heaven Sent said: Ndoa tena brod darling, kisa white outfit? Ni ibada tu Huo mguu ni ahsante angle picha ilipochukuliwa, bila hivyo Click to expand... Nikidhani unaolewa sis darling, umependeza sana.
Heaven Sent said: Ndoa tena brod darling, kisa white outfit? Ni ibada tu Huo mguu ni ahsante angle picha ilipochukuliwa, bila hivyo Click to expand... Nikidhani unaolewa sis darling, umependeza sana.