π€£π€£π€£π€£π€£π€£ aki utakuja upigwe π€£π€£π€£π€£Joined July 2014
Messages 84
Kwema mkuu? we ni mdau wa selfika tupia basi ka selfie.
Kazi inaendelea mkuu wangu, nipo doria ova.Mkuu kazi inaendelea au mkakati unemekufa toka janaaa.. Madama mahondaw unapitwa huku π π π
na ulegeeeee π π πShendwaaaa
Mbuzi pori[emoji39]mbona hujaiweka nyma poli enyewe toa ka mualiko basi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Alafu kama vile hawatuoni yaani π π π πKazi inaendelea mkuu wangu, nipo doria ova.
Nahamia kabisaa tu huko mambo yanguu hayaaa π€ͺπ€ͺπ€ͺ
Wewe ni 2022 una more than 800 messages na ni expert, we hapo mbona hujaona kuna mtu 2006 ana mesages 100 na bado ni member.π€£π€£π€£π€£π€£π€£ aki utakuja upigwe π€£π€£π€£π€£
π€£π€£π€£ at mtu tangu 2009 ana msg 50 hahahahhahahahahahha! Aki nacheka had nakuwa kichaaaaπ€£π€£π€£π€£π€£ hakika ruban unatsha π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Leo nipo doria nakodoa huku na kule, nikifanya utafiti, tayari timu yangu ya IT tupo makini sana.Rubani umeanza.
Jana umenichekesha sanaπππ
N introvert haoπ, hahahahhahahaha!Wewe ni 2022 una more than 800 messages na ni expert, we hapo mbona hujaona kuna mtu 2006 ana mesages 100 na bado ni member.
alafu kama hujui ma introvert wengi wao ndio ma bingwa wa ku commentN introvert haoπ, hahahahhahahaha!
Ooh can't wait sis
Mkuu nipo makini sana nikifuatilia kila kitu kwa umakini, kwanza kabisa nina tools mbali mbali IT wamenipatia ikiwemo plugin ya notification message ikiingia au picha ikitumwa, pili nina plugin ya ku auto refresh kila sekunde, nipo doria mkuu ova ova.Alafu kama vile hawatuoni yaani π π π π
πππ naomba plugin ya auto download ya picha za seflie tu hapa.. picha yoyote itayoweka ndani ya second iwe imeshushwaMkuu nipo makini sana nikifuatilia kila kitu kwa umakini, kwanza kabisa nina tools mbali mbali IT wamenipatia ikiwemo plugin ya notification message ikiingia au picha ikitumwa, pili nina plugin ya ku auto refresh kila sekunde, nipo doria mkuu ova ova.
Weekend naona ipo vizuri sana mawardat.
Nyiee mnatutisha sasa [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] naomba plugin ya auto download ya picha za seflie tu hapa.. picha yoyote itayoweka ndani ya second iwe imeshushwa
kwa hio nikutumie ama inakuaje, ngoja niongee na IT wangu, tena ni nzuri sana ukitumia, siku nzima unakuta picha zote.πππ naomba plugin ya auto download ya picha za seflie tu hapa.. picha yoyote itayoweka ndani ya second iwe imeshushwa
Na nyie mnatinyanyasa sanaaaa π₯²π₯²π₯² kama wewe asubuhi umenichinjia kabisa baharini bado nina sikia ushunguuu πππNyiee mnatutisha sasa [emoji23]
hiyo fanya kunitumia au kushare kule GitHub nifanye ku install chap chap ili twende kidogo sawakwa hio nikutumie ama inakuaje, ngoja niongee na IT wangu, tena ni nzuri sana ukitumia, siku nzima unakuta picha zote.