[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu na swaggz zenu, hadi rangi ya kiatu ifanane na mkanda? Woiiiiiiih.Kapendeza ila kazingua rangi ya mkanda haimatch na rangi ya kiatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kam kauwaaaaaaaa shangazi lets wait mida yetuBasi mungu akipenda mida yetu ile ya popo tunajilipua bila chenga[emoji2][emoji2]
Mwamba kapendeza .. ndio mambo myapendayo eeeh! siku nikichomeka nahisi nitadondoka π π πmahondaw
Shouzzz ndo unavyopenda hivi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa cheki nn hiki khaaaah, nashindwaga kumuambia ukweli tyuuh ila iko siku ntamchana live. View attachment 2221533
Mie mvaa suruali za kitambaa tena bwanga
We mjomba mzungu wa utatanishi[emoji23][emoji23]
Mzungu wa mpakani hujui yupo Tanzania au Bulgaria anatatanisha hatari π π π πWe mjomba mzungu wa utatanishi[emoji23][emoji23]
Ndiooo, ila ana body kaliii mno aisee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu na swaggz zenu, hadi rangi ya kiatu ifanane na mkanda? Woiiiiiiih.
Mwamba kapendeza .. ndio mambo myapendayo eeeh! siku nikichomeka nahisi nitadondoka π π π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] Dj Waleteeeeeeeeeeeh
Jaribu bwana [emoji23]Mwamba kapendeza .. ndio mambo myapendayo eeeh! siku nikichomeka nahisi nitadondoka [emoji28][emoji28][emoji28]
Shos wee ni next level... mambo yako hatareeeeeπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] yaan mie full kucheka khaaaah.
Afu ukisweat sasa yanang'ang'ania mwilini hahaaNo smoking
Ukute kavaa na kile wanakiita kija... koti halafu ana sweat ,[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nakufa kwa kucheka hapa mie lol.Mwamba kapendeza .. ndio mambo myapendayo eeeh! siku nikichomeka nahisi nitadondoka [emoji28][emoji28][emoji28]
Mwanaume anae jijari na kupendeza huwa wanakuwa wastaarabu ingawa sio wote.. wengine ukikuta hivyo ni kipengelee π π π πBaba pasta Wazee ndio tunapenda hivo kina cocastic hawataki huo wanaita ushamba!!πππ
Yeah shangazi alifanya burasa ... kuanza kujibizana sio poa kabisa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jf kuna snipers, wazee wa kusoma comments tu, kimya kimya, hao ndio huwa wanaongoza kwenda pm, huwezi waona hata wana share picha, tena ukiona ame comment utasema mgeni, kumbe ni nguli, veteran, professional kabisa.
Au ni hawa hawa wadau unakuta ana ID nyingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwan sasa shouzzzz?Shos wee ni next level... mambo yako hatareeeee[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji8]
π π π π Tupia kwanza basi rafiki.. mie kuchomekea nitadondoka aseee nitakuwa sipo comfortable kabisaa