Bana bana sielewi vizuri. Mimi binafsi naona wabongo vile vitenge vya kutoka Kigoma ndiyo tunaita wax. But wataalamu wenyewe wanasema Java prints, Hollande etc; zote zinaingia kwenye wax. Na kwao wax inatumia material ya pamba kutengenezwa.