Unajua mwanamke nae ana machaguo yake..unaweza kuta ametegesha mtego ili samaki waingie wengi lakini yeye anamtaka mmoja Tu aliyemkusudia..pengine naweza kuwa Mimi

Itabidi awe na bundle la uhakika. Afadhali hata angeweka vigezo vikamsaidia kuengua baadhi yao lakini hii ya ali mradi tu wanapumua ni vurugu mechi sipati picha