Selfika na JF: Snap it. Show it

Heaven Sent

Usipigane
Vita ni ya Bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya Bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana


Mwache ye atakupigania tu
Acha kuhangaika, na wanadamu
Ili kuongeza jeshi lako eh eh eh
Hao ni wanadamu ,ni watu tu
Watakuhunisha tu eh eh eh
Alimwanbia musa waambie Israel
Watulie waone wokovu wangu wangu leo
Maana wamisri hawa wanaowaona leo
Hawatawaona tena eh eh eh

Usiyumbishwe na mazingira
Iwe unaona, au huoni
Ye anapigana eh eh eh
Usiogope ile ripoti ya dakitari
Usiogope lile deni la ile benki
Usiogope ile kesi mahakamani
Anakupiganiaa
Usiogope utavaa shela lako
Usiogope udogo wa kanisa lako
Usiogope maneno na fitna zao
Vita ni ya Bwana
Usipiganeeeee eeeeeh
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…