hivi kumbe gilesi ni bujibuji??
Ama kweli kuwa uyaone siyo maghorofa bali makubwa!!
Ila mwanaume kujifanya mwanamke ina ukakasi kidogo maana kwa jinsia wanavyojitutumua humu ni ngumu kuamini kwamba mwanaume anaweza kuwa na id ya kike na akaandika kama mwanamke kabisa
Mbeya mjini sina ndugu wa karibu mama nilienda kusoma chuo tu sasa nimeshamaliza, ndugu zangu karibu wote wako Dar labda kina bibi na babu ndiyo wako Kyela napo kuenda kuwatembelea ni mara moja moja sana.