Wee acha kabisaa, jana jion hiyo iftar ya mwisho, si katuwekea wapangaji wenzie wote, yaan nlibana ndani kimya, kumbe ye anasubir nikitoka anikamate nile iftar yake,
Ukirudi utavikuta nakuambia[emoji23]Wee acha kabisaa, jana jion hiyo iftar ya mwisho, si katuwekea wapangaji wenzie wote, yaan nlibana ndani kimya, kumbe ye anasubir nikitoka anikamate nile iftar yake,
Saa 2 usku natoka nje, kanikamata, wee mie nakuita husikii nagonga mlango kimya tyuuh, nkajifanya aaah nlilala hata sijaskia sorry, si ananipa sahan iliyojaa vyakula mbali bali na chai flan nzito ya maziwa, yaan nlipokea huku najisikia aibu, kuzama ndani sasa acha nipakie hapo nlishiba ndiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nkajisemea hapana, acha nisepe zangu, sitaki aibu ndogo ndogo mie. Uwiiiiiiih.
Koh Koh Koh .........🤪Mweeeeeh hebu fanya assuming tyuuh gran bah
Nasubir mwenzio.Koh Koh Koh .........[emoji2957]
Karibu gichuri Mjukuu 🤪Muraaaaaaahhh!!😜😜
Yanii kuna jirani muislam hapa tangu asubuhi ananiumizaje pua mwenzenu!!!😉😉
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unashiba harufuYanii kuna jirani muislam hapa tangu asubuhi ananiumizaje pua mwenzenu!!![emoji6][emoji6]
Yaan mambo anayoandaa sijui ana wageni wengi mnoo leo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mwenzio nimekimbia, marashi yananukia hayo mweeeh, hapo bado hajaanza kukaangiza,.Yanii kuna jirani muislam hapa tangu asubuhi ananiumizaje pua mwenzenu!!![emoji6][emoji6]
Acha tu shos anantesaje hukuu!!
Yani balaa ameshaanza kukaangiza hapa nahisi kushiba kwa harufu!!Mwenzio nimekimbia, marashi yananukia hayo mweeeh, hapo bado hajaanza kukaangiza,.
Ndizi tamu hizo, katuli afu. Zinafaa kwa vibumunda. [emoji23][emoji23][emoji23]Nasubiri mwaliko[emoji4]View attachment 2209693
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani balaa ameshaanza kukaangiza hapa nahisi kushiba kwa harufu!!