Selfika na JF: Snap it. Show it

Duh! Aiseee mama yako ndio mwanamke wa nguvu. Naamini hata namna ya kujistiri kakufundisha yeye. Sio hawa wamama wa Leo kitoto kidogo tayari kishaanza kuvishwa bikini halafu wanaona sifa.

Mama yako anafaa kuwa mkwe aiseee
 
Hahaha
Sijatinda nyusi basi sijui najionaje last time nikajifanya fundi nikajitinda aisee nilitoa nyusi karibia zote bila ule uwanja sijui ingekuwaje nilikuwa nachekesha
khaaaaah, kwann unatinda sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…