Selfika na JF: Snap it. Show it

Napenda mwanamke ambae hana makucha kama shetani, hana mirangi mirangi mnaita make up. Na mwenye kujistiri dah
Asante aisee mamaangu Hadi nafikia drs la Saba ananikagua kucha kilawiki sijawahi kufuga kabisa na Hadi hapa siwez tena
Hadi leo akiniona na kucha zimekua kidogo lazima anichambe Ila mbna wanaofuga wanapendeza wakipaka na rangi wananoga sana


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…