Mama unajua ni uswahilini!! unaweza sema unaenda kukabwa ni Mwananyamala huko kwa kopa ila nguo isiyo na lining 10,000 iliyo na lining 20,000 yoyote ile hata za sherehe hana tamaa.
Kitambaa nenda kwa Zidane, Queen of fabrics au kwa Natty wacheck hata watsap