Nitakusindikiza kwako, ufike salaama.. maana dunia siku hizi imevirugwaa uje basi chap chap hali ya hewa safii tukitoka hapo twende tukapate fish pale fish fish wa mchemso 😅😅😅