Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
😁 mwanafunzi we ni beginner ili uongee kiingereza ingebidi unywe safari kama 2 zile mkubwa wao.Nilikuwa nakutafuta mwl
kunamtu alinisemesha kidhungu nikawa nakuchek uniambie ninywe bia gani nije kuzungumza nae
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Acha uchokozi basi [emoji3][emoji3][emoji3]Mbususu ni nini[emoji16]
Hivi wewe una picha hata moja humu kweli??Sema wanaweka picha na kuzitoa za kwetu zipo tu humu tangu uwasisi wa uzi huu
Toa jibu bhasAcha uchokozi basi [emoji3][emoji3][emoji3]
Ngoja nikazitafute aisee[emoji2]nikija hapa mkae na dictionary[emoji16] mwanafunzi we ni beginner ili uongee kiingereza ingebidi unywe safari kama 2 zile mkubwa wao.
Nipo mpendwa leo siko vizuri ila napitia comments[emoji1431]
PoleSauti imekatika kabisa ila nashukuru kwa sasa naendelea vizuri shukrani sana ndugu[emoji1431]
Muache apumzike mtoto mzuri Tinsley yupo kwao.Tinsley
Hajaonekana
Kabisa leo
Sasa isije kuwa..
Nilimaanisha warembo, nyie ni wachokozi. Humu hakuna asiejua maana ya hilo neno.Toa jibu bhas
Silali nasubiri ujue
Sasa, usinywe kwanza wakati mentor sipo, ukinunua nitafute nije nikufundishe kwa vitendo, tusiishie theory tu.Ngoja nikazitafute aisee[emoji2]nikija hapa mkae na dictionary
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Pole sana nakuweka kwenye maombi nakuombeaNipo mpendwa leo siko vizuri ila napitia comments[emoji1431]
[emoji848][emoji1787]Nilimaanisha warembo, nyie ni wachokozi. Humu hakuna asiejua maana ya hilo neno.
🙏🏽🙏🏽Pole sana nakuweka kwenye maombi nakuombea
Pole mno utakua sawa tuSauti imekatika kabisa ila nashukuru kwa sasa naendelea vizuri shukrani sana ndugu[emoji1431]
Niko serious kabisa ni kitu gani hiyoAcha uchokozi basi [emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio mpendwaUnaumwa?
Nyingi sana zipo juu juu hapo, ingawa yako nimeikosa hata nikisema irudiwe hutarudia maana ni mbishi wewe [emoji38]Hivi wewe una picha hata moja humu kweli??
Mimi silijui rafikiNilimaanisha warembo, nyie ni wachokozi. Humu hakuna asiejua maana ya hilo neno.
Nataman kukuona ujueNyingi sana zipo juu juu hapo, ingawa yako nimeikosa hata nikisema irudiwe hutarudia maana ni mbishi wewe [emoji38]