Selfika na JF: Snap it. Show it

shangazi upo kwenye ulimwengu wa warembo na wazuri.. yani ume balance hatari sana shangazi sijui nikutafutie zawadi gani tu shangazi yangu kwa kumshukuru Mungu kwa uumbaji uliotukuka kwako [emoji56][emoji56]

Haya shukrani mjomba...

Sikuhizi wazee sisi tumekuwa wabishi sana,hatutaki kuachia ngazi[emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…