Thanks sweetheart!Pole sana mpendwa you will be ok and well soon!
Sawa, naona na kiu imeongezeka kusikia Jioni π€ͺRelaxxx! leo jioni mapema sana utaniona babuu!
Naenda kusema kwa bibiπ€ΈπΎββοΈπ€ΈπΎββοΈSawa, naona na kiu imeongezeka kusikia Jioni π€ͺ
Hapa nakusubiria Kwa hamu kama ilivyokuwa Mama Jusi kusubiria Nyota ya Mashariki ππππ
Doin okayI'm okay vipi wewe huko ?
Leo hadi nikuone asee Sitoki hivihivi!!
Sawa, naona na kiu imeongezeka kusikia Jioni π€ͺ
Hapa nakusubiria Kwa hamu kama ilivyokuwa Mama Jusi kusubiria Nyota ya Mashariki ππππ
Namimi sijapenda kabisa msemwe hivoππSasa sie wa kusini tumekukosea Nini sijapenda[emoji16]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nampelekea dawa buana bibi asiwaze kabisa!ππNaenda kusema kwa bibiπ€ΈπΎββοΈπ€ΈπΎββοΈ
Usiende kusema Mjukuu, nitakununulia Pipi na zile Ice cream π¦ unazozipenda πNaenda kusema kwa bibiπ€ΈπΎββοΈπ€ΈπΎββοΈ
Akati anakunywaga mitishamba, nyieee nyieeeeeeNampelekea dawa buana bibi asiwaze kabisa!ππ
Kwa kweli Mjukuu, na Ile Miwani nitaomba ukanibarishie vioo , naona ikifika majira ya saa 11 Jioni naanza kupoteza uoni π€ͺπ€ͺπLeo hadi nikuone asee Sitoki hivihivi!!
Hio yangu ni nzuri sana yani akinywa leo Kesho anaamka yupo fit enough!!Akati anakunywaga mitishamba, nyieee nyieeeeee
NiceDoin okay
Jiandae mapema sana unaletewa miwani mpyaa na dozi moja kareeeeee βοΈβοΈπ!Kwa kweli Mjukuu, na Ile Miwani nitaomba ukanibarishie vioo , naona ikifika majira ya saa 11 Jioni naanza kupoteza uoni π€ͺπ€ͺπ
Juzi daktari wangu alishauri naweza kutumia na dawa za kizungu bila matatizo, mwache Mjukuu aniletee dawa zangu Mjukuu mzuri, sawa eeh.Akati anakunywaga mitishamba, nyieee nyieeeeee
Katukosea Sana[emoji23][emoji23]Namimi sijapenda kabisa msemwe hivo[emoji23][emoji23]
Aku pipi uliniambia nitaoza meno, me ataka π₯π na π΅πUsiende kusema Mjukuu, nitakununulia Pipi na zile Ice cream π¦ unazozipenda π
Asante Mjukuu, lazima nikupe na zawadi ya mashamba Mwaka huu π€ͺπ€ͺπ€ͺJiandae mapema sana unaletewa miwani mpyaa na dozi moja kareeeeee βοΈβοΈπ!
Very cute π!Kwa Bi mkubwa kudeka kidogo
Hahahaa nitahakikisha kama kwel ni dawaJuzi daktari wangu alishauri naweza kutumia na dawa za kizungu bila matatizo, mwache Mjukuu aniletee dawa zangu Mjukuu mzuri, sawa eeh.
Na zile Ice cream zako nimeshakuagizia ππ
Ila usimwambie Bibi yako, sawa eeh π€ͺπ€ͺHahahaa nitahakikisha kama kwel ni dawa