Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,362
Yaani bagia tu aina zote sijawahi kuzipenda.Ooh okay
Za kunde au dengu ndo huzipendi ?
Mimi nazipenda zote
Hiyo yaWanifundishe tu maakuli aisee
Sekta nyingine tunaye Cocastic[emoji38][emoji38][emoji38]
Sijui test zimekabanacocastic mamaa ya mizagamuo! Amemisika sana Selfika
Nyie Ndio wazuri baki nahuo mwili wako! Too much Minyama sio kabisa!Laiti kama lingekuwa linapungunzwa ungenipunguzia huo mzigo maana mimi mpaka najicheka nikijiangalia kwenye kioo yaani kama UBAO[emoji51]
Aliniambia ni kungwiHiyo ya
Jomooniee tyu[emoji1787][emoji848]
Ooh okay
Za kunde au dengu ndo huzipendi ?
Mimi nazipenda zote
Itakuwa huzipendi tu ..huwa zinanoga sanaYaani bagia tu aina zote sijawahi kuzipenda.
Kuna zile zinakuwaga na uchungu fulani basi sijui naonaje.
Ila nikija kujua kupika sambusa yaani zitanikoma[emoji2]
HalelujahShendwaaaa pepo mchafu
Mwili ninao ila nimejazia kwenye mikono na kichwa😬😬😬Nyie Ndio wazuri baki nahuo mwili wako! Too much Minyama sio kabisa!
🤣🤣🤣Pole pole mkuu
Hauna kapicha hapo tuonepo mikono ilivojaa ???😜😉Mwili ninao ila nimejazia kwenye mikono na kichwa😬😬😬
Itakuwa tu kule mbeya hawajui kuzipika[emoji23]Itakuwa huzipendi tu ..huwa zinanoga sana
Kukulia huku pwani kumenifanya nipende sana bites kama zotee
pepoHebu rekebisha kwanza jina hilo la Baba mtumishi
Lipe kwanza heshima inayostahili halafu tuendelee.
Jengaa weweHalelujah
Imepeenyeea
Mbeeengo zemefoongooka
Jinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pepo
Kweli aisee zinanoga balaaaIla mimi naonaga za kunde ni tamu zaidi...
Mwili ninao ila nimejazia kwenye mikono na kichwa[emoji51][emoji51][emoji51]
Sidhani hata kama huwa wanaweka hivyo vituKweli aisee zinanoga balaaa
Uziwekee kitunguu swaumu , tangawizi na pilipili kwa mbali .
Itakuwa mpishi tu huyoItakuwa tu kule mbeya hawajui kuzipika[emoji23]