Mie nimefundisha wengi sana kunywa, kama wewe tunaanza na vilevi vitamu, nakupiga kitu kama shandy, huo ni mchanganyiko wa bia na soda au kinywaji unachopenda kama hizo juice, kuna utaalamu namna ya kumix.
Kuna namna nyingi ya kukaribisha beginners kama nyie kundini.
Ukianza kuona vibe la kuwa high, nakuleta sasa kwenye wine zile za beginners, nakuleta kwenye strong beer, nakurudisha kwenye whiskey zile laini nakurudisha kwenye Konyagi, hapo gari limekolea umekuwa master nakutunuku cheti, wote tumekuwa walevi, fresh.