Nuzulati ni definition ya maisha yangu ni ukamilifu kwenye maisha yangu... isivyowezekana bahari kuvuka mipaka iliyowekewa ndivyo isivyowezekana maisha yangu bila pumzi yangu Nuzulati
Nuzulati ni definition ya maisha yangu ni ukamilifu kwenye maisha yangu... isivyowezekana bahari kuvuka mipaka iliyowekewa ndivyo isivyowezekana maisha yangu bila pumzi yangu Nuzulati
Huwa nashangazwaga na hili swali, huwaga naona watu wakiwauliza wenzao hv. Nkawa nahs huenda wanakuwaga na ushahid na hilo walizngumzalo.
Leo nmeelewa kumbe n swali ambalo mtu akijiskia humuuliza yeyote yule, me syo mgeni na pia sna id ya zaman hi ndyo id yangu labda nisahau password........