Wewe huyuhuyu?
Mtazichochea wenyewe kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kichizi .
Nipo ndugu yangu, energy imekwisha[emoji16][emoji16][emoji16]Silent killer upo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unapenda kunichokoza silent killer?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heaven Sent umeshapata mwenzio mtakaechomwa naye na zile gunia special za kuni
Anzisha wewe wenyewe navyo watatupiaMbona siku ya accessories haiji,nasubiri....
Mdogo etu wewe kwanza una msala wa kuni kwa makosa yako ya gadauni.Kwani siku hizi unakuwaje mdogo wangu!!
Ni zile tabia mbaya ndiyo uliamua kabisa kufundishika π€£π€£
Au na mimi nikuambie uni wache na wakati hakuna mahala umenikamataπMbona unapenda kunichokoza silent killer?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Screen shot za comments, PM au wapi? Unataka kuweka shots za kuhusu nini bosi ledi ili nikushauri?Wana selfika hivi Mtu akiweka screenshot hapa atapigwa ban??? Mie sipendagi maneno mengi Huwa naongea kidogo ila ni Mtu wa ku act sana! Naombeni mwongozo kwanza bado naipenda jf!
Sema uoneAu na mimi nikuambie uni wache na wakati hakuna mahala umenikamataπ
Sishindwi kusema ohooo
Mkuu hizo screenshot zinahusu nini?Wana selfika hivi Mtu akiweka screenshot hapa atapigwa ban??? Mie sipendagi maneno mengi Huwa naongea kidogo ila ni Mtu wa ku act sana! Naombeni mwongozo kwanza bado naipenda jf!
π€£π€£π€£π€£ godaun!!!!Mdogo etu wewe kwanza una msala wa kuni kwa makosa yako ya gadauni.
Usiiniingize tafadhaliπππ
Mtasifia mafundi bure tu. Nyie vimodo hata mtu awe hajawahi kushika cherehani akiwashonea mnapendeza tu! [emoji16][emoji16][emoji16]Fundi wako anakupatia....[emoji91]
Utalambwa life ban π€£π€£π€£π€£Wana selfika hivi Mtu akiweka screenshot hapa atapigwa ban??? Mie sipendagi maneno mengi Huwa naongea kidogo ila ni Mtu wa ku act sana! Naombeni mwongozo kwanza bado naipenda jf!
πππMtasifia mafundi bure tu. Nyie vimodo hata mtu awe hajawahi kushika cherehani akiwashonea mnapendeza tu! [emoji16][emoji16][emoji16]
Sio pm ni comvo za WhatsApp!!Screen shot za comments, PM au wapi? Unataka kuweka shots za kuhusu nini bosi ledi ili nikushauri?
Alaa kumbe Ndiomana niliomba ushauri kwanza asante!Utalambwa life ban π€£π€£π€£π€£
Zikaushie tu ili uendelee kuselfika humu JFSio pm ni comvo za WhatsApp!!