T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,106
- 30,528
Hahahaha....nimesoma kwa umakini wa hali ya juu kabisa huku nikiwaza hii ni fursa adhimu ya kuonana/kukutanaJamani Jumatatu ya Pasaka nimeandaa hafla fupi nyumbani kwangu kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa mambo kadhaa aliyonitendea.
Kutakuwa na vinywaji vya aina mbalimbali na kuna mbuzi atachomwa na mtaalamu wa kuchoma nyama atakuja na jiko lake palepale.
[emoji1426]
NB: Nawaomba wote jamani mjitahidi kufuata mfano wa huyo jamaa aliyenifowadia hiyo sms, na nyie muandae hafla ya kumshukuru Mungu majumbani kwenu kwa mambo mbalimbali aliyowatendea. Mi nikiwa na hela ntaandaa pia.
AMINAMshindajiiii mwenye mamlaka yote,
Nguvu za mauti na dhambi,
Yesu alizishinda
Mle kaburini Yesu kazikwa,
Alifunikwa na giza kubwa,
Kwa siku ya tatu Bwana kafufuka,
Walinda kaburi waliogopa.
Walikiri kwamba,Yesu Yu hai
Walikiri kwamba, Yesu Yu hai
Shangilieni Yesu alifufuka.
Shangilia Yesu alifufuka
Yu karibu sana kurudi atufufie soteView attachment 2190409
Asante sana, pasaka njema kwenu pia [emoji120][emoji120]Pasaka njema wana selfika wote
thank you so much for all of us
Amina Aleluya, pasaka njema kwakoBWANA WETU YESU KRISTO AMEFUFUKA KWELI KWELI HALLELUJAH
pamoja boss ladyAsante mjeda nakwako pia!!
Happy Easter from "kwetu"View attachment 2190438
Kwako pia na wapendwa wakoAmina Aleluya, pasaka njema kwako
KaribuNaombeni mwaliko wa pilau [emoji16]
After Church[emoji3590][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji108]
View attachment 2190643
Ahsante sana chief🙏🙏Pasaka Njema Wanaselfika [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2190684
PortableAfter Church[emoji3590][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji108]
View attachment 2190643
vitamu hiviPortable