From January to December najua ulinilinda
Ni Wewe
Tangu Mawio, machweo ulinipa huu mwangaza
Ni wewe
Wakati wa huzuni, furaha zote unanipa amani
Milimani, Mabondeni kote unakua nami
Nchi ya ahadi, ni nzuri imejaa asali
Iye iyee, iyee iyee