Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah hapa hivi unafanana na mtu fulaan hivi.
Au bas nikae kimy tyuuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kasome handdome numerals kule zikikaa peke yake muda mrefu zitarejea kwao[emoji1]
 
shos mambo Yako Sikuwezi!!! Umetokelezeaje shos ake [emoji1732][emoji1732][emoji8][emoji8][emoji8][emoji3531]!! Pendeza sanaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu nna bonge la ubuyuuu, kila nkituma text kule chimbo zinagoma, sijui umefunga PM yako. Kuna sehem ktk uzi nmekutag na kukuambia kanichek kulee kimyaa, tangu jana asubuh yaan. Na humu pia sijakuona jana

Fanya unichek kuleeee
 
weee nakufungiaje shos angu nimekuchek kaangalie.... mbona sijaona hio tag lol
 
Hivi kwani sisi tuliwatuma hao Geita washike mpira kama netiball?
Au walidhani mechi imekuwa ya netiboli eeh??au basketball [emoji23]

Halafu kwani ni sisi tumempa kengeza yule kaka akose penalt?
Kwanini amoengeshee kipa lakini?




City tumewahurumia tu
Halafu hivi mnajitambua kweli?
Mnatoa draw nyumbani[emoji2]
Wolves anawachapa ndio tunashinda hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…