Ukiingia bafuni tu kuoga mamba anakubeba π€ͺπ€ͺMmoja wa wazazi wangu
Anatokea Mwabalogi vileji
Mwingine uru kishumundu
Jaribu nikuzimishe
Huyu Wigelekelo anaonekana hana adabu na Babu yako, unaonaje tusimpe tu π€ͺπ€ͺNdio babu π€Έπ»ββοΈ
Na tutamgawia kidogo huyo Wige
Unga wa muhogo utakufanya uendelee kuwa na nguvu kama za kijana.Unajua kunipatia wewe, yaani Bibi yako atachinja yule jogoo mkubwa na kunipikia ugari wa mhogo utakaonileteaππ
Kama tumnyime vile?!Huyu Wigelekelo anaonekana hana adabu na Babu yako, unaonaje tusimpe tu π€ͺπ€ͺ
Too much sweetness in dried grapes, zimenishinda mshamba mie πView attachment 2181773
Maandaliziπ
Pole kipenziToo much sweetness in dried grapes, zimenishinda mshamba mie π
Subiria dakika 90, tunashinda hii mechiπͺπͺ
Sahii naogopa hata kubetia chama langu kiukweli..! Sad.!
Tulia Mamlai π€£π€£Sahii naogopa hata kubetia chama langu kiukweli..! Sad.!
Tubet babuSubiria dakika 90, tunashinda hii mechiπͺπͺ
Hahahaha......kumbe uko deep na mafunzo ya Bible eeh, alafu nisikie Kuna Mwanaume huko nje anakusumbuaπππππKama tumnyime vile?!
Au basi tusimlipe baya kwa baya!
Tukifungwa hii mechi nakutumia hela ya Hennessy Mjukuu, Ila tukishinda utachagua zawadi ya kunipa π€ͺπ€ͺπ€ͺTubet babu
Hahaha......lakini unajua Mimi na Bibi yako tumeshazeeka πππUnga wa muhogo utakufanya uendelee kuwa na nguvu kama za kijana.
Haya mahindi yamebanana sana. We na babu yako hamvuni kitu hapo [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Na picha babu tuwape [emoji1787]View attachment 2181771
Bosi Ledi nakusalimia [emoji870][emoji870][emoji870]Babu hio raba nimeielewa sana [emoji3577][emoji3577]!