Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Hapana mkuu hapa tuna Nissan Patrol ya kazi kazi.. πππ Jaguar next week naenda Chato, Sengerema, Kahama, Mwanza, Magu.. ipo services kwa ajiri ya route hiyoHakuna kitu. Labda ni tatizo la hichi kitochi ninachotumia. Nitausaka ushauri nikiingia kwenye browser.
Uko na Mnyama Jaguar huko Moro?
Mwee ngoja nikiangalia kwa browser [emoji849][emoji849]
Everything is possible...just set your priorities right and go for it! Early 30s hapo unasukuma RR, late 30s to early 40s Inshallah utakuwa unasukuma Rolls Royce kabisa. Just stay safe...ila tunataka hata binti yetu akasome International School of Tanganyika kabisa ikiwezekana..[emoji1545][emoji1545]Brief: kwa watafutaji tukitaka kumiliki magari makali Kama rolls Royce it's possible just focus
wa kupuliza karibu hapa tupulize ComradeNa Ni kiwanda Cha kuzalisha vijambo kwa sana.
Dah! Ningekuwepo ningedandia lift haki ya nani. Basi tu....Hapana mkuu hapa tuna Nissan Patrol ya kazi kazi.. [emoji3][emoji3][emoji3] Jaguar next week naenda Chato, Sengerema, Kahama, Mwanza, Magu.. ipo services kwa ajiri ya route hiyo
Hata kwako haijafunguka?Mwee ngoja nikiangalia kwa browser [emoji849][emoji849]
Pale ada mill 33 mzee halaf akina 9.8ms squared wanakuja mjaza mimba si ntampasua fore head na Glock 26 [emoji3][emoji3]Everything is possible...just set your priorities right and go for it! Early 30s hapo unasukuma RR, late 30s to early 40s Inshallah utakuwa unasukuma Rolls Royce kabisa. Just stay safe...ila tunataka hata binti yetu akasome International School of Tanganyika kabisa ikiwezekana..[emoji1545][emoji1545]
Km kuna kitu nimejifunza ni kujikubali ,jikubali wizo!
Haijalishi ukoje! Jipende,jikubali
Unajua kupika.Chakula kinavutia machoni[emoji39][emoji39]Daku[emoji8]View attachment 2178403
Maeneo yangu pendwaa.. sana hayo huwa roho yangu inatulia sana nikiwa huo ukanda.. hasa nikikanyaga chato huwa nakumbuka mengi sana.. pamoja buseresere..Dah! Ningekuwepo ningedandia lift haki ya nani. Basi tu....
Cha kupikiwa [emoji173]mamaUnajua kupika.Chakula kinavutia machoni[emoji39][emoji39]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
πππππ tuwalinde watoto wetuPale ada mill 33 mzee halaf akina 9.8ms squared wanakuja mjaza mimba si ntampasua fore head na Glock 26 [emoji3][emoji3]
Kudos[emoji108]Sio kama sijikubali wifi. Sio hata kitu kinachoninyima amani wala kuniwazisha; ni vya kawaida tu
[emoji16][emoji16][emoji16] Asante mkuu, endelea kuwapuliza mdogomdogo.wa kupuliza karibu hapa tupulize Comrade
AiseeNo offense to my Muslim folks [emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 2178450
Unataka kusema nini doc? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099]Unajua kupika.Chakula kinavutia machoni[emoji39][emoji39]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Doc,mimi nimesifia Tu chakula cha mawardat kinavutia machoni..akajibu mapishi ni mama yakeUnataka kusema nini doc? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099]